Weka app ya ajira.go.tza kwenye simu yako ili upate taarifa za nafasi za kazi serikali kwa haraka pia utajulishwa kwa haraka mara tu ukiitwa kwenye usaili. App hii inakipengele cha kukufundisha jinsi ya kujibu maswali ya interview na maswala mengine muhimu kwa vijana wanaotafuta ajira au walioajiriwa, mfano kuna kipengele cha mafunzo ya ujasiriamali ambacho ni muhimu sana kwako.
Kumbuka app hii haimilikiwi na secretariat ya ajira Tanzania wala mtumishi wa secretariat hiyo.
App ya ajira.go.tza ni muhimu sana kwa vijana tunaotafuta kazi, Ukiweka app hii kwenye simu yako utajulishwa kila nafasi za kazi zinapowekwa kwenye mtandao wa serikali wa ajira.go.tz na mitandao mingine ya watu binafsi inayowekwa taarifa za nafasi za kazi za kila siku
Hutachelewa tena kutuma maombi kwa kuchelewa kupata taarifa za nafasi za kazi serikalini. Pia utaweza kupata taarifa za usaili kwa haraka na kuanza kujiandaa kwa maswali yatakayoulizwa ili uweze kufaulu usaili wako na utajulishwa kwa haraka siku matokeo ya usaili yakitoka.
App hii ina kipengele cha kutoa mafunzo ya jinsi ya kujibu maswali ya usaili na mafunzo mengine muhimu kwa vijana tunaotafuta ajira.
kumbuka app hii haimilikiwi na secretariat ya ajira tazania wala tovuti yoyote ya utumishi. App hii pia haimilikiwi na mfanyakazi wa secretariat ya ajira au mfanyakazi wa utumishi.
App hii inamilikiwa na Kijana wa kitanzania mwenye mapenzi mema na maendeleo ya vijana kwa lengo la kuwawezesha waweze kupata taarifa kwa haraka pindi zikiwekwa kwenye tovuti ya serikali ya ajira.go.tz. Haturekebishi , hatuongezi wala kupunguza chochote kilichowekwa kwenye mtandao wa ajira.go.tz na mitandao mingine ya nafasi za kazi
Vipengele vingine vilivyomo kwenye app kama Elimu juu ya usaili vinaandaliwa na mmiliki wa app hii na sio wafanyakazi wa ajira.go.tz au mmiliki wa mtandao wowote wa nafasi za kazi tanzania
This release of Ajira.go.tza App Android App available in 3 variants. Please select the variant to download. Please read our FAQ to find out which variant is suitable for your Android device based on Screen DPI and Processor Architecture.
If you are looking to download other versions of Ajira.go.tza App Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.