App imetulia sana ni nyepesiii...!!!
Ukiwa na App ya Bongo Comedy utafurahia maisha na kuburudika na
1.Video za Vichekesho
2.Picha za Vichekesho
3.Audio/Sauti za Vichekesho
4.Message/SMS za Vichekesho.
5.Notification kila kitakapotumwa kichekesho kipya.
6.Vichekesho na Vituko vya wasanii maarufu kama Joti,Mzee Majuto,MC Pilipili,JMondy,Mkudesimba,Stanbakora,Bwakila,Mkaliwenu na wengine kibao.
7.Utaweza ku'share' vichekesho na rafiki zako kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.
Enjoy easy navigation,fast loading,funny images,videos,messages and audio clips from your beautiful App.
This version of Bongo Comedy Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.
If you are looking to download other versions of Bongo Comedy Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.