Elimu Ukimwi 1.0.0 Icon
4.9
20 Ratings
1K+
Downloads
1.0.0
version
Aug 24, 2016
release date
15.8 MB
file size
Free
Download

What's New

About Elimu Ukimwi Android App

Zipo njia tofauti ambazo watu hujifunza juu ya maradhi mbali mbali na afya kwa ujumla.

kumekua na sitofahamu kubwa katika jamii zetu juu ya suala zima la virusi vinavyosababisha ukimwi na ukimwi, watu kukosa elimu sahihi kumepelekea ugumu wa kuondosha unyanyasaji na kuwakosesha matumaini kwa walioathirika kuendelea na maisha kama kawaida.

Kupitia hapa, utaweza kujifunza mambo muhimu kuhusu virusi vinavyosabisha ukimwi na ukosefu wa kinga mwilini. Utafahamu pia kua VVU na UKIMWI ni vitu viwili tofauti, na hatua mbali mbali za kutoka VVU hadi kufikia UKIMWI na dalili za hatua hivo.

Ingizia kitabu hiki kwenye simu yako na ufaidike wewe, familia na jamii iliyokuzunguka.

Other Information:

Package Name:
Requires Android:
Android 4.0+
Other Sources:

Download

This version of Elimu Ukimwi Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.

Variant
10
(Aug 24, 2016)
Architecture
universal
Minimum OS
Android 4.0+
Screen DPI
nodpi (all screens)

All Versions

If you are looking to download other versions of Elimu Ukimwi Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.

Loading..