G1 Mapinduzi Kwanza 0.1 Icon

G1 Mapinduzi Kwanza

Felijose Systems Business
4.5
6 Ratings
100+
Downloads
0.1
version
Sep 25, 2016
release date
3.9 MB
file size
Free
Download

What's New

About G1 Mapinduzi Kwanza Android App

Kikundi cha G1 mapinduzi kwanza imeanzishwa chini ya sharia namba (6) ya mwaka 1995 Kikundi kimeanzishwa kwa lengo la kujitambua na kusaidiana na kusaidia jamii inayotuzunguka hasa vijana kina mama wazee na watoto. Sisi ni wana Kikundi cha G1 mapinduzi kwanza ambao tunaoishi Zanzibar na Tanzania bara pamoja na walokuwa nje ya Tanzania kwa umoja wetu tumeanzisha Kikundi hichi bila ya kushawishiwa na mtu
Kikundi hiki kitakua ni chambo madhubuti cha kutuunganisha
1. DIRA
Kuwa na jamii ya watu wenye uelewa na muamko wa kimaendeleo katika Nyanja za kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kiutamaduni ili kutokomeza ujinga umasikini na maradhi.
2. MUELEKEO
Kuhakikisha kwamba jamii ya watu wa Zanzibar na Tanzania wanaelimika na kuhamasika katika harakati za kujiletea maendeleo yao na Taifa kwa ujumla
3. MALENGO
Kikundi hiki kimeanzishwa ili kutekeleza malengo yafuatayo:-
i. Kujenga mazingira mazuri yatakayosaidia kukuza mahusiano na kuelewana na kukuza udugu
ii. Kuanzisha na kusimamia miradi ya kikundi cha G1 Mapinduzi kwanza na shughuli mbalimbali za kimaendeleo
iii. Kuwaunganisha Watanzania wa ndani na nnje kwa kutumia mitandao ya kijamii Whatsapp, Facebook, Instagram na Twitter ili kusaidia maendeleo ya Taifa kwa ujumla
iv. Kuwajengea uwezo wa kiunshindani vijana wajasiriamali na kutangaza kazi zao
v. Kuhimiza ushiriki na ushirikishwaji wa wana kikundi wote yanapotokezea matukio ya shida, furaha, ugonjwa na matatizo mbali mbali ya kijamii

Other Information:

Package Name:
Requires Android:
Android 2.3.2+ (Gingerbread, API 9)
Other Sources:

Download

This version of G1 Mapinduzi Kwanza Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.

Variant
1470385851
(Sep 25, 2016)
Architecture
Unlimited
Minimum OS
Android 2.3.2+ (Gingerbread, API 9)
Screen DPI
nodpi (all screens)

All Versions

If you are looking to download other versions of G1 Mapinduzi Kwanza Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.

Loading..