Hi hadithi ndefu inayoelezea historia ya wanaume watatu ambao ni chongo kwenye jicho moja. Ijapokuwa wanaume hawa wameishi maeneo tofauti lakini wote chongo zao zipo jicho moja. Wanakutana ugenini wakiwa wamenyoa nyusi katika hali ambayo inaweza kukuchekesha.
Kisa hiki kitaangalia zaidi maisha ya watoto wa Wafalme na matajiri, changamoto wanazokutana nazo na vipi wanaweza kukabiliana nazo. Katika hadithi hii utapata kujuwa maamuzi ya busara ni nini na wapi yanahitajika.
Huu n muendeezo wa kisa kirefu katika hadithi za Alif lela ambazo zilipatapo kusimuliwa siku za zamani sana.
This version of HADITHI YA CHONGO WATATU Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.
If you are looking to download other versions of HADITHI YA CHONGO WATATU Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.