Huruma Ya Mungu ni ibada ya kutukuza na kuheshimu mateso na majeraha aliyoyapata Bwana wetu Yesu Kristu katika ukombozi wa wanaadamu.
App hii ina sala zote za Huruma Ya Mungu:
1 Rozari ya Huruma Ya Mungu.
2 Litania ya Huruma Ya Mungu.
3 Sala ya Huruma Ya Mungu.
4 Novena ya Huruma Ya Mungu.
5 Sala ya kuomba neema ya kuwa na huruma kwa wengine.
6 Sala ya kujizamisha kwenye Huruma Ya Mungu.
7 Sala tatu za kuomba Huruma Ya Mungu kwa ajili ya mtu anayekaribia kufa.
8 Sala ya asubuhi.
9 Sala ya Jioni.
10 Sala za novena na litania siku ya kwanza hadi ya tisa.
This version of Huruma Ya Mungu Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.
If you are looking to download other versions of Huruma Ya Mungu Android App, We have 10 versions in our database. Please select one of them below to download.