Jifunze Kiarabu Fasaha 5.0 Icon

Jifunze Kiarabu Fasaha

Luqman Technologies Ltd Education
0
0 Ratings
61K+
Downloads
5.0
version
Feb 18, 2024
release date
97.9 MB
file size
Free
Download

What's New

Jinsi ya kulipia kupitia Muda wa Maongezi wa Vodacom, Tigo na Airtel Fuata hatua zifuatazo:-

1. Hakikisha laini yako Ina muda wa maongezi kuanzia sh 1000.

2. Washa internet ya simu yako

3. Ingia Google Play Store

4. Bonyeza jina la Account yako

5. Bonyeza Payment & Subscription

6. Bonyeza Payment Methods

7. Chagua Vodacom au Tigo au Airtel

8. Fungua App yako na Bonyeza Kitabu unachotaka Kununua

9. Kila Kitabu ni Sh. 1000

About Jifunze Kiarabu Fasaha Android App

Jifunze Kiarabu Fasaha ni App inayokufundisha kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha. Masomo yameandaliwa kumwezesha mwanafunzi ambaye anazijua herufi za kiarabu kuongea lugha ya kiarabu. Masomo yapo katika vitabu viwili, mwanafunzi amalizapo kitabu cha kwanza atatakiwa asome na kitabu cha pili ili kujenga uwezo wa kuongea lugha ya kiarabu kwa ufasaha. Tunakutakia kila la kheri na mafanikio katika kujifunza lugha hii.

Other Information:

Requires Android:
Android 5.0+
Other Sources:

Download

This version of Jifunze Kiarabu Fasaha Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.

Variant
5
(Feb 18, 2024)
Architecture
universal
Minimum OS
Android 5.0+
Screen DPI
nodpi (all screens)
Loading..