Kanuni za Barabarani ikiwemo magari barabarani, watembea kwa miguu, waendesha baiskeli, waendesha pikipiki, na wachungaji wa mifugo
Zijue alama na michoro barabarani, ishara za trafiki polisi barabarani,
Jifunze udereva wa kujihami, na pata maswali na majibu ambayo huulizwa katika utahini/mitihani ya udereva na jeshi la polisi barabarani (trafiki)
This version of Jifunze Udereva Sahihi Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.
If you are looking to download other versions of Jifunze Udereva Sahihi Android App, We have 6 versions in our database. Please select one of them below to download.