Mjamzito ni programu ya simu inayokupa elimu ya mama mjamzito. Utapata ufahamu kwa kina namna ya kulea mimba na hatimaye kujifungua. Programu hii inagusa mambo yote kwa kina yanayohusu uzazi kwa ujumla. Zijue mbinu za kupata mtoto kwa uharaka zaidi na jinsia uitakayo.
Pia yajue matatizo ambayo yanaweza kusababisha ukakosa kushika ujauzito kwa muda au kutokushika ujauzito kabisa. Utakuwa na uwezo wa kuuliza maswali ya papo kwa papo na utapata ushauri juu ya afya ya uzazi kutoka kwa matabibu wabobezi.
This version of Mama Mjamzito Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.
If you are looking to download other versions of Mama Mjamzito Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.