Mawazo ya Biashara 29.9.9 Icon

Mawazo ya Biashara

BongoChoice Education
4.5
674 Ratings
10K+
Downloads
29.9.9
version
Dec 16, 2018
release date
5.7 MB
file size
Free
Download

What's New

About Mawazo ya Biashara Android App

Mawazo Ya Kibiashara
App hii inayo mkusanyiko wa makala ya mawazo ya kibiashara, ufugaji, uwekezaji mdogo hadi mkubwa, pamoja na biashara za mtandaoni. Makala hayo tofauti tofauti yatakukusaidia kukujenga na kuamua ni biashara ipi unaweza kuifanya kulingana na mtaji ulio nao.

Kunayo makala zaidi ya 300 ambayo yamefanyiwa utafiti na kubainika yanaweza yakaleta mabadiliko chanya kwa wajasiriamali wadogo wadogo ndani ya muda mfupi wa uwekezaji, pia App hii itakupa mbinu za kutunza mtaji mdogo katika biashara na kuukuza kuelekea kuwa mtaji mkubwa.

App hii imewasaidia vijana zaidi ya 50 walioamua kufanyia kazi moja ya mawazo yaliyopo na kuwafanya kuwa wajasiriamali wazuri na wazalishaji wazuri. Kuna mengi yakujifunza ndani ya App hii kuhusu biashara ikiwemo
1.Jinsi ya kupata mtaji✔️
2.Jinsi ya kukuza mtaji mdogo kuelekea mkubwa✔️
3.Jinsi ya kupanua biashara✔️
4.Jinsi ya kupata wateja wakudumu✔️
5.Jinsi ya kutangaza biashara✔️
6.Jinsi ya kuongeza uzalishaji✔️

Hayo ni machache kati ya yaliyomo kwenye App hii ambayo kwa uhakika tunajua yatakubadilisha na kukupa mitazamo mipya juu ya uwekezaji/Ujasiriamali. Karibu Pakua App Hii Uanze Kujifunza, Kwa Msaada wa haraka na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa Email: [email protected]

Other Information:

Package Name:
Requires Android:
Android Android 4.2+ (Jelly Bean MR1, API 17)
Other Sources:

Download

This version of Mawazo ya Biashara Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.

Variant
46
(Dec 16, 2018)
Architecture
Minimum OS
Android Android 4.2+ (Jelly Bean MR1, API 17)
Screen DPI
nodpi (all screens)
Loading..