Share ibara kwa sms, au mitandao mbalimbali ya kijamii
Soma katiba kwa sehemu za sura au kwa ibara moja moja
Version 0.3 deployment
Version 0.2 beta testing
Version 0.1 alpha testing
Rasimu II ya katiba mpya ya Tanzania inakupatia toleo la mwisho la rasimu ya katiba ya tanzania inayotegemea kutengenezwa mwakani. inakupatia experience ile ile ya katiba ya Tanzania na rasimu ya kwanza, Soma rasimu kwa sura au kwa ibara, share na ndugu zako au watanzaniia wenzako katika mitandao ya kijamii ibara za rasimu, share kwa ujumbe mfupi wa sms hata kwa watanzania wasiokua na smartphones au wale wa vijijini kuhusu ibara flani ambayo unadhani wana haja ya kuijua either kuipinga ili kuomba marekebisho au kuipongeza. Na mengi mengineyo
This version of Rasimu II ya Katiba Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.
If you are looking to download other versions of Rasimu II ya Katiba Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.