Rugema app 1.1 Icon
4.5
4 Ratings
100+
Downloads
1.1
version
May 30, 2017
release date
10-50 MB
file size
Free
Download

What's New

1. tarehe ya hijiriyyah inayoendana na uhalisia wa mwandamo wa mwezi kama ilivyo katika sunnah

2. wepesi wa app ukifananisha na ile ya mwanzo

3. kusikiliza ujumbe wa sauti katika app

4. kusoma ujumbe wa haraka katika app.

About Rugema app Android App

App ya Rugema ni mazalisho ya wanachuoni.com iliyoandaliwa kwa dhumuni la kusahilisha upatikanaji wa vitabu na makala za kielektronia kwenye simu za kisasa kwa wale ndugu zetu wanafunzi. Vitabu na makala hizo ni za wanachuoni zinazofasiriwa kutolewa kwa lugha ya kiarabu na kupelekwa kwa kiswahili.

Da'wah yetu
Da'wah yetu imejengwa juu ya Qur-aan, Sunnah kwa uelewa wa wema waliotangulia. Tunalingania katika:

Tasfiyah (kusafisha) itikadi na fikra mbalimbali zilizoenea kati ya watu, ili waislamu wote wawe na umoja, bi maana 'Aqiydah na manhaj moja

Tarbiyah (malezi) juu ya uelewa sahihi wa Qur-aan na Sunnah - nako ni kurejea katika uelewa wa Salaf-us-Swaalih wakati wote. Kwani hivo ndivyo tulivyoamrishwa na Allaah na Mtume Wake ('alayhis-Salaam).

Wa Swalla Allaahu 'alaa Nabiyyinaa Muhammad

Other Information:

Package Name:
Requires Android:
Android 4.0 and up
Other Sources:

Download

This version of Rugema app Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.

Variant
Updated
(May 30, 2017)
Architecture
Minimum OS
Android 4.0 and up
Screen DPI
nodpi (all screens)

All Versions

If you are looking to download other versions of Rugema app Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.

Loading..