Tumeondoa matangazo.
Hii ni android app maususi kwa ajili ya sala mbalimbali za Kanisa Katoliki. Ndani ya app hii kuna sala mbalimbali zaidi ya mia moja, ambazo baadi ni kama zifuatazo:-
=>Sala ya Asubuhi.
=>Sala ya Jioni.
=>Sala ya kuombea makosa ya kila siku.
=>Sala ya kujiweka mtumwa wa Moyo Mtakatifu wa Yesu.
=>Sala ya kuomba toba mbele ya Moyo Mtakatifu wa Yesu.
=>Rozari ya Moyo Mtakatifu wa Yesu.
=>Litania ya Moyo Mtakatifu wa Yesu.
=>Novena kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu.
=>Sala kwa ajili ya kujitolea malipo kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu.
=>Historia ya Mtakatifu Faustina.
=>Namna ya kusali rozari ya Huruma.
=>Litania ya Huruma ya Mungu.
=>Sala ya Huruma ya Mungu.
=>Novena ya Huruma ya Mungu.
=>Sala tatu za kuomba Huruma ya Mungu.
=>Sala ya Mtakatifu Birigita wa sweedeni.
=>Sala kwa malaika wako mlinzi.
=>Sala ya kumwomba Yesu aliyeteswa msalabani.
=>Sala ya kuombea wenzetu imani.
=>Ufunguo wa moyo wa imakulata wa Maria.
=>Sala ya Novena ya Mtakatifu Filomena.
=>Sala kwa Mtakatifu Yuda.
=>Sala ya Mtakatifu Simoni Stock.
=>Sala ya Muujiza.
=>Sala ya Roho Mtakatifu.
=>Sala ya Roho ya Fatima.
=>Sala kwa Yesu kristu Mfalme.
=>Uso Mtakatifu wa Bwana wetu Yesu Kristu.
=>Sala ya kumuomba mtakatifu Antoni.
=>Sala ya Kupunga.
=>Sala ya kuheshimu Damu Takatifu ya Yesu.
=>Sala ya Mt. Fransisco wa Assissi.
=>Sala kwa Mtakatifu Yosefu yenye zaidi ya miaka 1900.
=>Rozari ya Imani.
=>Rozari ya Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu.
=>Sala ya kujiweka wakfu kwa Bibi yetu wa Utatu Mtakatifu.
=>Sala iliyokutwa kwenye Kaburi la Yesu 1503AD.
=>Sala kwa Mtoto yesu wa prague.
=>Sala kwa Mtakatifu Ana.
=>Sala kwa Mtakatifu Getruda Mkuu.
=>Novena ya imani ya mtoto.
=>Majitoleo ya asubuhi.
=>Mafumbo ya Rozari Takatifu.
=>Nyimbo za Moyo Mtakatifu wa Yesu.
n.k
This version of Sala Za Katoliki. Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.
If you are looking to download other versions of Sala Za Katoliki. Android App, We have 10 versions in our database. Please select one of them below to download.