Marekebisho ya rangi na menu
Simba Makini ni programu ya simu ambayo ipo kwa ajili ya kukuhabarisha habari za michezo kwa weledi mkubwa zaidi. Programu hii inamilikiwa na tawi la Simba la Makumbusho, jijini Dar es Salaam.
Taarifa zote zinazohusu klabu ya Simba na michezo kwa ujumla zinapatikana katika programu hii kwa usahihi na haraka zaidi. Pata habari motomoto za usajili, soka, wachezaji na michezo kwa ujumla kila siku.
This version of Simba Makini Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.
If you are looking to download other versions of Simba Makini Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.