Kuwa wa kwanza kuwafikia wanunuzi wengi kupitia application hii ya kijanja na ni rahisi kuitumia, tafuta Masoko na Soko popote. Wewe mnunuzi pata bidhaa na huduma bora kutoka Soko Popote
Soko popote ni application ambayo inakupa fursa ya kuuza na kununua bidhaa kutoka kwa wafanyabiashara na wanunuzi waaminifu kutoka Tanzania na Afrika mashariki, Tafuata soko la bidhaa yako kupita mtandao unaopendwa na watu wengi nchini. Tunakupa fursa ya kutangaza na kupata deals kwa bei nafuu kabisa ni sawa na bure.
Tafuta soko la bidhaa yako kupitia app hii na website yake inayopatikana kwa url ya http://sokopopote.com.
Punguza gharama ya kuwa mtumwa wa kuposti kwenye mitandao ya kijamii kila siku na kila wakati, Posti mara moja chukua link share kwenye magroup yako ili kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi.
Pia pata uhakika wa wateja waaminifu kwa sababu tumewekeza kuitangaza app hii pamoja na website yake kupitia media, magazeti, matamasha na mitandao ya kijamii
This version of Soko Popote Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.
If you are looking to download other versions of Soko Popote Android App, We have 1 version in our database. Please select one of them below to download.