Tafuta Mchumba 8.1 Icon

Tafuta Mchumba

SelfMade Technonology Dating
4.9
17 Ratings
1K+
Downloads
8.1
version
Mar 10, 2018
release date
3.5 MB
file size
Free
Download

What's New

About Tafuta Mchumba Android App

App imeundwa na imefanyiwa Update ya App iliyopo mwanzo ya kutafutia
wachumba.
Lengo la kuundwa kwa App hii ni kwaajili ya kusaidia watu kutafuta wachumba
Mke mume Mpenzi na marafiki Buree Basipo na malipo ya aina yoyote ile

Mambo ya umuhimu kuzingatia
1.Jisajili kwa kuandika majina yako ya ukweli,
2.Andika tarehe yako halisi ulio zaliwa,
3.Katika sehemu ya comment andika unacho tafuta katika App hii,
4.Upload picha yako halisi isiyopita miezi sita nyumba.
5.Bonyeza Save Kuanza kutumia Huduma zetu.

Warning

1.ukibainika ume upload picha zisizo za kwako account yako itafungiwa.
2.ukibainika unatukana watu utafungiwa
3.Account zisizo kuwa na picha ,itafungiwa na pia haitapewa kipaumbele katika kutafuta mchumba.

Option utakazo weza kutumia.

Katika app hii Features zote ni Bure na Member wote wapo sawa
Utaweza ku upload picha utakazo katika profile lako.
Utaweza kupost picha katika chat na public pamoja na emoj.
Utaweza kupost Videos katika private na public
Mtu ambaye nimtumiaji wa mara kwa mara atapewa kipaumbele cha profile kuwa visible kwa watu wengi
Na yule atakae Rate App pia atapewa kipaumbele.

Tuna Amini utaipenda App hii pia usisahau kushare na Marafiki

Other Information:

Package Name:
Requires Android:
Android 4.0.3+ (Ice Cream Sandwich MR1, API 15)
Other Sources:
Category:

Download

This version of Tafuta Mchumba Android App comes with one universal variant which will work on all the Android devices.

Variant
3
(Mar 10, 2018)
Architecture
Unlimited
Minimum OS
Android 4.0.3+ (Ice Cream Sandwich MR1, API 15)
Screen DPI
nodpi (all screens)

All Versions

If you are looking to download other versions of Tafuta Mchumba Android App, We have 2 versions in our database. Please select one of them below to download.

Loading..